Publicidade

Buscar a Deus

Por Bíblia Online

Buscar a Deus é o chamado mais urgente da Bíblia. Buscai primeiro o Reino de Deus. Os que buscam de todo coração encontram — porque Ele se deixa encontrar pelos que o procuram.

Buscai ao Senhor

Buscai ao Senhor enquanto se pode achar. Buscai e achareis. O Senhor recompensa os que o buscam com diligência.

Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana;

mwiteni maadamu yu karibu.

Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana;

mwiteni maadamu yu karibu.

Hukumu Na Wokovu

"Nilijifunua kwa watu wale ambao hawakuniulizia.

Nimeonekana na watu wale ambao hawakunitafuta.

Kwa taifa lile ambalo halikuliita Jina langu,

nilisema, Niko hapa, niko hapa.

Huwapa nguvu waliolegea

na huongeza nguvu za wadhaifu.

Hata vijana huchoka na kulegea,

nao vijana wanaume hujikwaa na kuanguka,

bali wale wamtumainio Bwana

atafanya upya nguvu zao.

Watapaa juu kwa mbawa kama tai;

watapiga mbio wala hawatachoka,

watatembea kwa miguu wala hawatazimia.

Mtafuteni Bwana na nguvu zake;

utafuteni uso wake siku zote.

Mtafuteni Bwana na nguvu zake;

utafuteni uso wake siku zote.

"Nawe Solomoni mwanangu, mjue Mungu wa baba yako, ukamtumikie kwa kujitoa kwa moyo wote na kwa nia ya kumkubali, kwa maana Bwana huuchunguza kila moyo na kujua kila kusudi la kila fikira. Ukimtafuta, ataonekana kwako; bali kama ukimwacha, yeye atakukataa milele.

kama watu wangu, wanaoitwa kwa Jina langu, watajinyenyekesha na kuomba na kuutafuta uso wangu na kuacha njia zao mbaya, basi nitasikia toka mbinguni na kuwasamehe dhambi yao na nitaiponya nchi yao.

Akatoka ili kumlaki Asa na kumwambia, "Nisikilizeni, Asa na Yuda wote na Benyamini. Bwana yu pamoja nanyi mkiwa pamoja naye. Kama mkimtafuta, ataonekana kwenu, lakini kama mkimwacha yeye, naye atawaacha ninyi.

Asa Afanya Matengenezo

Roho wa Bwana akamjia Azaria mwana wa Odedi. Akatoka ili kumlaki Asa na kumwambia, "Nisikilizeni, Asa na Yuda wote na Benyamini. Bwana yu pamoja nanyi mkiwa pamoja naye. Kama mkimtafuta, ataonekana kwenu, lakini kama mkimwacha yeye, naye atawaacha ninyi. Kwa muda mrefu Israeli walikuwa hawana Mungu wa kweli, walikuwa hawana kuhani wa kuwafundisha na wala hawakuwa na sheria. Lakini katika taabu yao walimrudia Bwana, Mungu wa Israeli na kumtafuta, naye akaonekana kwao. Katika siku hizo hapakuwa na amani kwa yeyote aliyesafiri, kutoka wala kuingia, kwa kuwa wakazi wote wa nchi walikuwa katika machafuko makubwa. Taifa moja lilipigana na taifa lingine na mji mmoja ukapigana na mji mwingine, kwa sababu Mungu alikuwa anawahangaisha kwa taabu za kila aina. Lakini kwa habari yenu ninyi, kuweni hodari wala msikate tamaa, kwa kuwa mtapata thawabu kwa kazi yenu."

Asa aliposikia maneno haya na unabii wa Azaria mwana wa Odedi nabii, akajipa moyo. Akaziondoa sanamu zote zilizokuwa machukizo katika nchi yote ya Yuda na Benyamini na kutoka miji aliyoiteka ya vilima vya Efraimu. Akakarabati madhabahu ya Bwana iliyokuwa mbele ya ukumbi wa Hekalu la Bwana.

Kisha akakutanisha Yuda wote, Benyamini na watu kutoka Efraimu, watu wa Manase na Simeoni waliokuwa wanaishi miongoni mwao, kwa maana idadi kubwa walikuwa wamemjia kutoka Israeli walipoona kwamba Bwana Mungu wake alikuwa pamoja naye.

Basi wakakusanyika huko Yerusalemu mwezi wa tatu katika mwaka wa kumi na tano wa utawala wa Asa. Wakati huo wakamtolea Bwana dhabihu za ngʼombe 700, kondoo na mbuzi 7,000 kutoka zile nyara walizoteka. Wakafanya agano kumtafuta Bwana, Mungu wa baba zao kwa moyo wao wote na kwa roho yao yote. Wale wote ambao hawangemtafuta Bwana, Mungu wa Israeli wangelazimika kuuawa, akiwa mdogo au mkubwa, mwanaume au mwanamke. Wakamwapia Bwana kwa sauti kuu, kwa kupiga kelele, tarumbeta na kwa mabaragumu. Yuda wote wakafurahia kile kiapo kwa sababu walikuwa wameapa kwa moyo wao wote. Wakamtafuta Mungu kwa bidii, naye akaonekana kwao. Kwa hiyo Bwana akawastarehesha pande zote.

Mfalme Asa akamwondolea Maaka mama yake wadhifa wake kama mama malkia kwa sababu alikuwa ametengeneza nguzo ya Ashera ya kuchukiza. Asa akaikata hiyo nguzo, akaivunjavunja na kuiteketeza kwa moto katika Bonde la Kidroni. Ijapokuwa hakuondoa mahali pa juu pa kuabudia miungu katika Israeli, moyo wa Asa ulikuwa umejiweka kwa Bwana kikamilifu maisha yake yote. Akaleta ndani ya Hekalu la Mungu fedha na dhahabu na vile vyombo ambavyo yeye na baba yake walikuwa wameviweka wakfu.

Hapakuwepo vita tena mpaka mwaka wa thelathini na tano wa utawala wake Asa.

De todo o coração

Buscar-me-eis e me achareis quando me buscardes de todo o coração. O Senhor é bom para os que o buscam.

Mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

Mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.

"Je, neno langu si kama moto," asema Bwana, "na kama nyundo ivunjayo mwamba vipande vipande?

Lakini kama mtamtafuta Bwana Mungu wenu, mtampata; kama mtamtafuta kwa moyo wenu wote na kwa roho yote.

Heri wale wanaozishika shuhuda zake,

wamtafutao kwa moyo wao wote.

Heri wale wanaozishika shuhuda zake,

wamtafutao kwa moyo wao wote.

Ninakutafuta kwa moyo wangu wote,

usiniache niende mbali na amri zako.

Nafsi yangu imechakazwa kwa huzuni,

uniimarishe sawasawa na neno lako.

Nitatembea nikiwa huru,

kwa kuwa nimejifunza mausia yako.

Mtafuteni Bwana na nguvu zake,

utafuteni uso wake siku zote.

Mtafuteni Bwana na nguvu zake,

utafuteni uso wake siku zote.

Moyo wangu unasema kuhusu wewe,

"Utafute uso wake!"

Uso wako, Bwana "Nitautafuta."

Shauku Kwa Ajili Ya Uwepo Wa Mungu
Zaburi ya Daudi. Wakati alipokuwa katika Jangwa la Yuda.

Ee Mungu, wewe ni Mungu wangu,

nakutafuta kwa moyo wote;

nafsi yangu inakuonea kiu,

mwili wangu unakuonea wewe shauku,

katika nchi kame na iliyochoka

mahali ambapo hapana maji.

Buscar e encontrar

Pedi e dar-se-vos-á. O Senhor está perto de todos os que o invocam em verdade. Quem o busca não ficará insatisfeito.

Omba, Tafuta, Bisha

"Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango.

"Kwa hiyo nawaambia: Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango. Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango.

"Kwa hiyo nawaambia: Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango.

Bali utafuteni Ufalme wa Mungu, na haya yote atawapa pia.

Kwa maana Mwana wa Adamu amekuja kutafuta na kuokoa kile kilichopotea."

Wote wanaolijua jina lako watakutumaini wewe,

kwa maana wewe Bwana,

hujawaacha kamwe wakutafutao.

Wote wanaolijua jina lako watakutumaini wewe,

kwa maana wewe Bwana,

hujawaacha kamwe wakutafutao.

Nilimtafuta Bwana naye akanijibu,

akaniokoa kwenye hofu zangu zote.

Wana simba wenye nguvu

hutindikiwa na kuona njaa,

bali wale wamtafutao Bwana

hawatakosa kitu chochote kilicho chema.

Jifurahishe katika Bwana

naye atakupa haja za moyo wako.

Bwana anawachungulia wanadamu chini

kutoka mbinguni

aone kama wako wenye akili,

wowote wanaomtafuta Mungu.

Mungu Asiyeweza Kukwepwa
Kwa mwimbishaji. Zaburi ya Daudi.

Ee Bwana, umenichunguza

na kunijua.

Unajua ninapoketi na ninapoinuka;

unatambua mawazo yangu tokea mbali.

Huyo atapokea baraka kutoka kwa Bwana,

na hukumu ya haki kutoka kwa Mungu Mwokozi wake.

Hiki ndicho kizazi cha wale wamtafutao,

wale wautafutao uso wako, Ee Mungu wa Yakobo.

Força na busca

Buscai o bem e não o mal. Sede fortalecidos no Senhor. A busca por Deus traz renovação e plenitude de vida.

Hili ndilo Bwana asemalo kwa nyumba ya Israeli:

"Nitafuteni mpate kuishi;

Hili ndilo Bwana asemalo kwa nyumba ya Israeli:

"Nitafuteni mpate kuishi;

Tafuteni mema, wala si mabaya,

ili mpate kuishi.

Ndipo Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote atakuwa pamoja nanyi,

kama msemavyo yupo nanyi.

Namwomba Mungu awaimarishe kwa kuwatia nguvu mioyo yenu kwa njia ya Roho wake kwa kadiri ya utajiri wa utukufu wake,

Silaha Za Mungu

Hatimaye, mzidi kuwa hodari katika Bwana na katika uweza wa nguvu zake.

mkiwa mmetiwa nguvu kwa uwezo wote kwa kadiri ya nguvu yake yenye utukufu, ili mpate kuwa na wingi wa saburi na uvumilivu. Nanyi kwa furaha

Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali roho ya nguvu, ya upendo na ya moyo wa kiasi.

Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu, kwa maana yeyote anayemjia Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko na ya kuwa huwapa thawabu wale wamtafutao kwa bidii.

Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu, kwa maana yeyote anayemjia Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko na ya kuwa huwapa thawabu wale wamtafutao kwa bidii.

Lakini mtapokea nguvu akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu, nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, Uyahudi kote na Samaria, hadi miisho ya dunia."

Bwana na akulipe kwa yale uliyoyatenda. Ubarikiwe kwa wingi na Bwana, Mungu wa Israeli, ambaye umekimbilia mabawani mwake."

Roho wa Bwana akaja juu yake kwa nguvu, naye akampasua yule simba kwa mikono yake bila silaha yoyote kama vile mtu ampasuavyo mwana-mbuzi, wala hakumwambia baba yake wala mama yake aliyoyafanya.

Ndipo Samsoni akamwomba Bwana, akasema, "Ee Bwana Mwenyezi, unikumbuke. Ee Mungu, nakusihi ukanitie nguvu mara hii moja tena, ili kwa tendo hili nipate kulipiza kisasi juu ya Wafilisti kwa ajili ya macho yangu mawili."

Ni bora kumkimbilia Bwana

kuliko kumtumainia mwanadamu.

Ni bora kumkimbilia Bwana

kuliko kuwatumainia wakuu.

Apataye mke apata kitu chema

naye ajipatia kibali kwa Bwana.

Ujue pia kwamba hekima ni tamu kwa nafsi yako,

kama ukiipata, kuna matumaini kwako ya siku zijazo,

nalo tumaini lako halitakatiliwa mbali.

Seja o primeiro
Publicidade
Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-06-29_22-07-56-