Pular para o conteúdo
Publicidade

O significado de espírito na Bíblia: corpo, alma e fôlego

O que significa espírito na Bíblia

Na Bíblia, a palavra "espírito" traduz o hebraico ruach e o grego pneuma, que significam literalmente sopro, vento ou fôlego de vida. As Escrituras usam o termo principalmente em três sentidos: o sopro divino que concede vida biológica ao ser humano, a dimensão imaterial e profunda da pessoa (onde ocorrem a consciência e a comunhão com o Criador) e o próprio Deus — em especial a pessoa do Espírito Santo.

Diferente do corpo material, o espírito humano representa o íntimo do ser, a vida que volta a Deus quando o corpo morre:

Hapo mwanzo Mungu aliumba mbingu na dunia. Wakati huu dunia ilikuwa haina umbo, tena ilikuwa tupu. Giza lilikuwa juu ya uso wa vilindi vya maji, naye Roho wa Mungu alikuwa ametulia juu ya maji.(Mwanzo 1:1,2)

Lakini ni Roho iliyoko ndani ya mwanadamu,

pumzi ya Mwenyezi, ndiyo impayo yeye ufahamu.(Ayubu 32:8)

Mkumbuke Muumba wako: kabla haijakatika kamba ya fedha,

au bakuli la dhahabu halijavunjika;

kabla mtungi kuvunjika kwenye chemchemi,

au gurudumu kuvunjika kisimani,

nayo mavumbi kurudi ardhini yalikotoka,

na roho kurudi kwa Mungu aliyeitoa.(Mhubiri 12:6,7)

Kama vile ambavyo mwili pasipo roho umekufa, kadhalika nayo imani pasipo matendo imekufa.(Yakobo 2:26)

Kwa maana Neno la Mungu li hai tena lina nguvu. Lina makali kuliko upanga wowote wenye makali kuwili, hivyo linachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, viungo na mafuta yaliyo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.(Waebrania 4:12)

Usiweke tumaini lako kwa wakuu,

kwa wanadamu ambao hufa,

ambao hawawezi kuokoa.

Roho yao itokapo hurudi mavumbini,

siku hiyo hiyo mipango yao yote hukoma.(Zaburi 146:3,4)

O conflito entre a carne e o espírito

No Novo Testamento, os autores bíblicos contrastam com frequência o espírito e a "carne". Enquanto "carne" descreve a natureza humana inclinada ao pecado e marcada pela fragilidade moral, o "espírito" renovado por Deus inclina a pessoa a obedecer à vontade do Criador.

No Getsêmani, Jesus apontou essa fragilidade ao advertir os apóstolos a orar e vigiar, pois a disposição interior não anula a fraqueza humana sem a dependência de Deus:

Kesheni na mwombe, msije mkaingia majaribuni. Roho iko radhi, lakini mwili ni mdhaifu."(Mathayo 26:41)

Kwa hiyo nasema, enendeni kwa Roho, wala hamtazitimiza kamwe tamaa za mwili.(Wagalatia 5:16)

Kwa maana mwili hutamani yale yaliyo kinyume na Roho, naye Roho hutamani yale yaliyo kinyume na mwili. Roho na mwili hupingana na kwa sababu hiyo hamwezi kufanya mnayotaka.(Wagalatia 5:17)

Lakini tunda la Roho ni upendo, furaha, amani, uvumilivu, utu wema, fadhili, uaminifu, upole na kiasi. Katika mambo kama haya hakuna sheria.(Wagalatia 5:22,23)

Kwa maana kuwa na nia ya mwili ni mauti, bali kuwa na nia inayoongozwa na Roho ni uzima na amani.(Warumi 8:6)

Wapenzi, kwa kuwa tunazo ahadi hizi, basi na tujitakase nafsi zetu kutokana na kila kitu kitiacho mwili na roho unajisi, tukitimiza utakatifu kwa kumcha Mungu.(2 Wakorintho 7:1)

A habitação do Espírito Santo no crente

A teologia bíblica ensina que a vida cristã não se sustenta no esforço puramente humano. A partir da fé em Cristo, o Espírito Santo passa a habitar no interior do crente, transformando seu corpo em templo e dando testemunho de que ele foi adotado como filho de Deus:

Je, hamjui ya kwamba miili yenu ni hekalu la Roho Mtakatifu akaaye ndani yenu, ambaye mmepewa na Mungu? Ninyi si mali yenu wenyewe, kwa maana mmenunuliwa kwa gharama. Kwa hiyo mtukuzeni Mungu katika miili yenu.(1 Wakorintho 6:19,20)

Kwa maana ni nani anayejua mawazo ya mtu isipokuwa roho iliyo ndani ya huyo mtu? Vivyo hivyo hakuna mtu ajuaye mawazo ya Mungu isipokuwa Roho wa Mungu.(1 Wakorintho 2:11)

Lakini kama Kristo anakaa ndani yenu, miili yenu imekufa kwa sababu ya dhambi, lakini roho zenu zi hai kwa sababu ya haki.(Warumi 8:10)

Kwa kuwa wote wanaoongozwa na Roho wa Mungu, hao ndio watoto wa Mungu.(Warumi 8:14)

Kwa maana hamkupokea roho ya utumwa iwaleteayo tena hofu, bali mlipokea roho ya kufanywa wana, ambaye kwa yeye twalia, "Abba, yaani, Baba," Roho mwenyewe hushuhudia pamoja na roho zetu ya kwamba sisi tu watoto wa Mungu.(Warumi 8:15,16)

Vivyo hivyo, Roho hutusaidia katika udhaifu wetu, kwa sababu hatujui kuomba ipasavyo. Lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa uchungu usioweza kutamkwa.(Warumi 8:26)

Namwomba Mungu awaimarishe kwa kuwatia nguvu mioyo yenu kwa njia ya Roho wake kwa kadiri ya utajiri wa utukufu wake, ili kwamba, Kristo apate kukaa mioyoni mwenu kwa njia ya imani. Nami ninaomba kwamba ninyi mkiwa wenye mizizi tena imara katika msingi wa upendo,(Waefeso 3:16,17)

Nazidi kumwomba Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo, Baba wa utukufu, awajalieni ninyi roho ya hekima na ya ufunuo, ili mpate kumjua zaidi.(Waefeso 1:17)

Tunajua kwamba twakaa ndani yake na yeye ndani yetu, kwa sababu ametupa sisi sehemu ya Roho wake.(1 Yohana 4:13)

Basi ikiwa ninyi mlio waovu, mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa Roho Mtakatifu wale wamwombao!"(Luka 11:13)

Zikatokea ndimi kama za moto zilizogawanyika na kukaa juu ya kila mmoja wao. Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakaanza kunena kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia.(Matendo Ya Mitume 2:3,4)

kwa maana ninajua kwamba kwa maombi yenu na kwa msaada unaotolewa na Roho wa Yesu Kristo, yale yaliyonipata mimi yatageuka kuwa wokovu wangu.(Wafilipi 1:19)

Mungu wa tumaini awajaze ninyi furaha yote na amani katika kumwamini, ili mpate kujawa na tumaini tele kwa nguvu ya Roho Mtakatifu.(Warumi 15:13)

Adoração em espírito e renovação da mente

Ao conversar com a mulher samaritana, Jesus afirmou que Deus é espírito. Isso significa que o relacionamento com o Criador não está preso a montanhas, ritos exteriores ou templos locais, mas exige sinceridade interior e conformidade com a verdade bíblica:

Lakini saa yaja, tena ipo, ambapo wale waabuduo halisi, watamwabudu Baba katika roho na kweli. Watu wanaoabudu namna hii, ndio Baba anawatafuta. Mungu ni Roho na wote wanaomwabudu imewapasa kumwabudu katika roho na kweli."(Yohana 4:23,24)

Nifanyeje basi? Nitaomba kwa roho, na pia nitaomba kwa akili yangu. Nitaimba kwa roho na nitaimba kwa akili yangu pia.(1 Wakorintho 14:15)

Msiwe wavivu, bali mwe na bidii katika roho mkimtumikia Bwana.(Warumi 12:11)

Nasi sote, tukiwa na nyuso zisizotiwa utaji tunadhihirisha utukufu wa Bwana, kama kwenye kioo. Nasi tunabadilishwa ili tufanane naye, toka utukufu hadi utukufu mkuu zaidi, utokao kwa Bwana, ambaye ndiye Roho.(2 Wakorintho 3:18)

Maana Mungu hakutupa roho ya woga, bali roho ya nguvu, ya upendo na ya moyo wa kiasi.(2 Timotheo 1:7)

Neema ya Bwana Yesu Kristo iwe pamoja na roho zenu. Amen.(Wafilipi 4:23)

As promessas proféticas e o discernimento

Os profetas do Antigo Testamento anunciaram que Deus colocaria um espírito novo e retiraria o coração insensível de Seu povo. O texto sagrado também orienta o crente a exercer domínio sobre as próprias reações e a discernir as influências espirituais à luz da Palavra:

Nitawapa moyo mmoja na kuweka roho mpya ndani yao, nitaondoa kutoka ndani yao moyo wa jiwe na kuwapa moyo wa nyama. Kisha watafuata amri zangu na kuwa waangalifu kutii sheria zangu. Watakuwa watu wangu nami nitakuwa Mungu wao.(Ezekieli 11:19,20)

Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo kwa hii mifupa: Nitatia pumzi ndani yenu, nanyi mtaishi.(Ezekieli 37:5)

Roho wa Bwana Mwenyezi yu juu yangu,

kwa sababu Bwana amenitia mafuta

kuwahubiria maskini habari njema.

Amenituma kuwaganga waliovunjika moyo,

kuwatangazia mateka uhuru wao,

na hao waliofungwa

habari za kufunguliwa kwao;(Isaya 61:1)

Kisha akaniambia, "Hili ni neno la Bwana kwa Zerubabeli: ‘Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali ni kwa Roho yangu,’ asema Bwana Mwenye Nguvu Zote.(Zekaria 4:6)

Kama mngekuwa mmeitikia karipio langu,

ningekuwa nimemimina roho yangu kwenu

na kuwafahamisha maneno yangu.(Mithali 1:23)

Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe,

bali makusudi hupimwa na Bwana.(Mithali 16:2)

Kiburi hutangulia maangamizi,

roho ya majivuno hutangulia maanguko.

Ni afadhali kuwa mnyenyekevu katika roho

miongoni mwa walioonewa

kuliko kugawana nyara pamoja na wenye kiburi.(Mithali 16:18,19)

Ni afadhali mtu mstahimilivu kuliko shujaa,

mtu anayeitawala hasira yake kuliko yule autekaye mji.(Mithali 16:32)

Taa ya Bwana huchunguza roho ya mwanadamu,

huchunguza utu wake wa ndani.(Mithali 20:27)

Wapendwa, msiamini kila roho, bali zijaribuni hizo roho mwone kama zimetoka kwa Mungu, kwa sababu manabii wengi wa uongo wametokea ulimwenguni.(1 Yohana 4:1)

Ni furaha yangu kuwaambia kuhusu ishara za miujiza na maajabu ambayo Mungu Aliye Juu Sana amenifanyia.

Ishara zake ni kuu aje,

na maajabu yake yana nguvu aje!

Ufalme wake ni ufalme wa milele;

enzi yake hudumu kutoka kizazi hadi kizazi.(Danieli 4:2,3)

A postura correta diante de Deus: humildade de espírito

A Bíblia destaca que Deus acolhe quem reconhece a própria dependência e necessidade de perdão. Quando o rei Davi se arrependeu de seus pecados graves, ele pediu não poder terreno, mas a renovação de um espírito íntegro em seu interior:

Ee Mungu, uniumbie moyo safi,

uifanye upya roho ya uthabiti ndani yangu.

Usinitupe kutoka mbele zako

wala kuniondolea Roho wako Mtakatifu.

Unirudishie tena furaha ya wokovu wako,

unipe roho ya utii, ili initegemeze.(Zaburi 51:10-12)

Bali dhabihu za Mungu ni roho iliyovunjika,

moyo uliovunjika wenye toba,

Ee Mungu, hutaudharau.(Zaburi 51:17)

Bwana yu karibu na waliovunjika moyo,

na huwaokoa waliopondeka roho.(Zaburi 34:18)

"Heri walio maskini wa roho,

maana Ufalme wa Mbinguni ni wao.(Mathayo 5:3)

Seja o primeiro

Este artigo te tocou? Faça uma oração!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.