Pular para o conteúdo
Publicidade

Oração: o que é, como fazer e o que Jesus ensinou

A oração é a conversa direta e sincera entre a pessoa e Deus. Na Bíblia, ela não é uma fórmula mística para dobrar a vontade divina, mas o meio pelo qual expressamos confiança, dependência, gratidão e pedidos ao Pai celestial.

Como Jesus ensinou a orar

Jesus alertou contra dois desvios comuns: a hipocrisia de orar em público para impressionar os outros e o uso de repetições mecânicas, achando que Deus responde pela quantidade de palavras. O Pai já sabe do que você precisa antes mesmo de pedir. No modelo da oração do Pai Nosso, Jesus estabeleceu as prioridades da fé: honrar o nome de Deus, submeter-se ao seu Reino, pedir o sustento diário, confessar pecados e buscar proteção contra o mal.

"Nanyi msalipo, msiwe kama wanafiki, maana wao hupenda kusali wakiwa wamesimama katika masinagogi na kando ya barabara ili waonekane na watu. Amin nawaambia, wao wamekwisha kupata thawabu yao.(Mathayo 6:5)

Lakini wewe unaposali, ingia chumbani mwako, funga mlango na umwombe Baba yako aliye sirini. Naye Baba yako aonaye sirini atakupa thawabu yako.(Mathayo 6:6)

Nanyi mnaposali msiseme maneno kama wafanyavyo watu wasiomjua Mungu. Kwa maana wao hudhani kwamba watasikiwa kwa sababu ya wingi wa maneno yao. Msiwe kama wao, kwa sababu Baba yenu anajua kile mnachohitaji kabla hamjamwomba.(Mathayo 6:7,8)

"Hivi basi, ndivyo iwapasavyo kuomba:

" ‘Baba yetu uliye mbinguni,

Jina lako litukuzwe.

Ufalme wako uje.

Mapenzi yako yafanyike

hapa duniani kama huko mbinguni.

Utupatie riziki yetu

ya kila siku.

Utusamehe deni zetu,

kama sisi nasi tulivyokwisha

kuwasamehe wadeni wetu.

Usitutie majaribuni,

bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu

[kwa kuwa Ufalme ni wako, na nguvu,

na utukufu, hata milele. Amen].’(Mathayo 6:9-13)

Akawaambia, "Mnapoomba, semeni:

" ‘Baba yetu (uliye mbinguni),

jina lako litukuzwe,

ufalme wako uje.

(Mapenzi yako yafanyike

hapa duniani kama huko mbinguni.)

Utupatie kila siku riziki yetu.

Utusamehe dhambi zetu,

kwa kuwa na sisi huwasamehe wote wanaotukosea.

Wala usitutie majaribuni

(bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu).’ "(Luka 11:2-4)

O convite a pedir com insistência e fé

Deus convida seus filhos a trazerem pedidos com liberdade e insistência. Os verbos que Jesus usa — pedir, buscar e bater — indicam persistência contínua, não uma tentativa única. Ele compara o cuidado de Deus com o de pais humanos: se pais imperfeitos dão coisas boas aos seus filhos, com muito mais generosidade o Pai acolhe quem recorre a Ele.

"Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango. Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango.(Mathayo 7:7,8)

Ikiwa ninyi basi mlio waovu mnajua kuwapa watoto wenu vitu vizuri, si zaidi sana Baba yenu aliye mbinguni atawapa vitu vizuri wale wamwombao?(Mathayo 7:11)

"Kwa hiyo nawaambia: Ombeni nanyi mtapewa; tafuteni nanyi mtapata; bisheni nanyi mtafunguliwa mlango. Kwa kuwa kila aombaye hupewa; naye kila atafutaye hupata; na kila abishaye hufunguliwa mlango.(Luka 11:9,10)

Kisha Yesu akawapa wanafunzi wake mfano ili kuwaonyesha kuwa yawapasa kuomba pasipo kukata tamaa. Akawaambia, "Katika mji mmoja alikuwepo hakimu ambaye hakumwogopa Mungu wala kumjali mtu. Katika mji huo alikuwako mjane mmoja ambaye alikuwa akija kwake mara kwa mara akimwomba, ‘Tafadhali nipatie haki kati yangu na adui yangu.’

"Kwa muda mrefu yule hakimu alikataa. Lakini hatimaye akasema moyoni mwake, ‘Ijapokuwa simwogopi Mungu wala simjali mwanadamu, lakini kwa kuwa huyu mjane ananisumbuasumbua, nitahakikisha amepata haki yake ili asiendelee kunichosha kwa kunijia mara kwa mara!’ "

Bwana akasema, "Sikilizeni asemavyo huyu hakimu dhalimu. Je, Mungu hatawatendea haki wateule wake wanaomlilia usiku na mchana? Je, atakawia kuwasaidia? Ninawaambia, atawapatia haki upesi. Lakini je, Mwana wa Adamu atakapokuja ataikuta imani duniani?"(Luka 18:1-8)

Kwa sababu hiyo nawaambia, yoyote mtakayoyaomba mkisali, aminini ya kwamba mmeyapokea, nayo yatakuwa yenu.(Marko 11:24)

O que significa orar em nome de Jesus

Orar em nome de Jesus não funciona como fórmula mágica ao final de uma frase. No contexto bíblico, o nome representa a autoridade, o caráter e a vontade da pessoa. Pedir em nome de Cristo significa aproximar-se do Pai fundamentado nos méritos de Jesus, alinhando desejos e propósitos àquilo que Ele mesmo ensinou e viveu.

Nanyi mkiomba lolote kwa Jina langu, hilo nitalifanya, ili Baba apate kutukuzwa katika Mwana. Kama mkiniomba lolote kwa Jina langu nitalifanya.(Yohana 14:13,14)

Ninyi mkikaa ndani yangu na maneno yangu yakikaa ndani yenu, ombeni lolote mtakalo, nanyi mtatendewa.(Yohana 15:7)

Si ninyi mlionichagua, bali mimi ndiye niliyewachagua ninyi na kuwaweka mwende mkazae matunda, na matunda yenu yapate kudumu. Ili nalo lolote mtakalomwomba Baba katika Jina langu, awape ninyi.(Yohana 15:16)

Mpaka sasa hamjaomba jambo lolote kwa Jina langu. Ombeni nanyi mtapewa, ili furaha yenu ipate kuwa kamili.(Yohana 16:24)

A certeza de que Deus ouve o clamor

A Escritura não esconde momentos de angústia e cansaço. De Davi perseguido no deserto aos profetas no cativeiro, a Bíblia registra clamores sinceros de quem não via saída humana. A resposta nem sempre vem no tempo ou na forma desejada, mas a promessa das Escrituras é que o Senhor não despreza a oração humilde dos que o buscam.

‘Niite nami nitakuitika na kukuambia mambo makuu na yasiyochunguzika, usiyoyajua.’(Yeremia 33:3)

Kisha mtaniita, na mtakuja na kuniomba, nami nitawasikiliza.(Yeremia 29:12)

Mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.(Yeremia 29:13)

Katika shida yangu nalimwita Bwana,

nilimlilia Mungu wangu anisaidie.

Kutoka hekaluni mwake alisikia sauti yangu,

kilio changu kikafika mbele zake,

masikioni mwake.(Zaburi 18:6)

Kwa maana hakupuuza wala kudharau

mateso ya aliyeonewa;

hakumficha uso wake

bali alisikiliza kilio chake ili amsaidie.(Zaburi 22:24)

na uniite siku ya taabu;

nami nitakuokoa, nawe utanitukuza."(Zaburi 50:15)

Ewe usikiaye maombi,

kwako wewe watu wote watakuja.(Zaburi 65:2)

Nilimlilia kwa kinywa changu,

sifa zake zilikuwa katika ulimi wangu.(Zaburi 66:17)

Kama ningekuwa nimeyaficha maovu moyoni mwangu,

Bwana asingekuwa amenisikiliza;

lakini hakika Mungu amenisikiliza

na amesikia sauti yangu katika maombi.(Zaburi 66:18,19)

Ataitikia maombi ya mtu mkiwa,

wala hatadharau hoja yao.(Zaburi 102:17)

Ninampenda Bwana kwa maana amesikia sauti yangu;

amesikia kilio changu ili anihurumie.

Kwa sababu amenitegea sikio lake,

nitamwita siku zote za maisha yangu.(Zaburi 116:1,2)

Bwana yu karibu na wote wamwitao,

karibu na wote wamwitao kwa uaminifu.(Zaburi 145:18)

Enyi watu wa Sayuni, mnaoishi Yerusalemu, hamtalia tena. Tazameni jinsi atakavyokuwa na huruma mtakapolia kwa kumwomba msaada! Mara asikiapo, atawajibu.(Isaya 30:19)

Mtafuteni Bwana maadamu anapatikana;

mwiteni maadamu yu karibu.(Isaya 55:6)

Kabla hawajaita, nitajibu,

nao wakiwa katika kunena, nitasikia.(Isaya 65:24)

A atitude do coração diante de Deus

A oração bíblica exige sinceridade interior. O apóstolo Tiago adverte que pedir motivado por egoísmo ou orar com o coração dividido impede a comunhão com Deus. O Senhor acolhe quem se achega com quebrantamento, disposição para perdoar e desejo sincero de obedecer à sua palavra.

Kama mtu yeyote miongoni mwenu amepungukiwa na hekima na amwombe Mungu, yeye awapaye watu wote kwa ukarimu wala hana kinyongo, naye atapewa. Lakini anapoomba, lazima aamini wala asiwe na shaka, kwa sababu mtu aliye na shaka ni kama wimbi la bahari, lililochukuliwa na upepo na kutupwa huku na huku. Mtu kama huyo asidhani ya kuwa atapata kitu chochote kutoka kwa Bwana. Yeye ni mtu mwenye nia mbili, mwenye kusitasita katika njia zake zote.(Yakobo 1:5-8)

Mnatamani lakini hampati, kwa hiyo mwaua. Mwatamani kupata lakini hampati vile mnavyotaka, kwa hiyo mnajitia katika magomvi na mapigano. Mmepungukiwa kwa sababu hammwombi Mungu.(Yakobo 4:2)

Mkaribieni Mungu, naye atawakaribia ninyi. Itakaseni mikono yenu ninyi wenye dhambi, na kuisafisha mioyo yenu ninyi wenye nia mbili.(Yakobo 4:8)

Kwa hiyo ungamianeni dhambi zenu ninyi kwa ninyi na kuombeana ili mpate kuponywa. Maombi ya mwenye haki yana nguvu tena yanafaa sana.(Yakobo 5:16)

Kama mtu yeyote akikataa kusikia sheria,

hata maombi yake ni chukizo.(Mithali 28:9)

Fahamuni hakika kwamba Bwana amewatenga

wale wamchao kwa ajili yake;

Bwana atanisikia nimwitapo.(Zaburi 4:3)

Tulia mbele za Bwana

na umngojee kwa uvumilivu;

usisumbuke watu wanapofanikiwa katika njia zao,

wanapotekeleza mipango yao miovu.(Zaburi 37:7)

Enyi watu, mtumainini yeye wakati wote,

miminieni mioyo yenu kwake,

kwa kuwa Mungu ni kimbilio letu.(Zaburi 62:8)

Confiança e submissão à vontade divina

A confiança na oração não significa receber garantias de que todo pedido pessoal será concedido. O próprio Jesus, diante da cruz no Getsêmani, pediu para afastar o sofrimento, mas concluiu submetendo-se à vontade do Pai. Paulo pediu três vezes para ser livre de uma aflição física e recebeu como resposta que a graça divina era suficiente. A fé madura descansa no fato de que Deus sabe o que é melhor, mesmo quando a resposta é diferente da nossa expectativa.

Huu ndio ujasiri tulio nao tunapomkaribia Mungu, kwamba kama tukiomba kitu sawasawa na mapenzi yake, atusikia. Nasi kama tunajua atusikia, lolote tuombalo, tunajua ya kwamba tumekwisha kupata zile haja tulizomwomba.(1 Yohana 5:14,15)

lolote tuombalo, twalipokea kutoka kwake, kwa sababu tumezitii amri zake na kutenda yale yanayompendeza.(1 Yohana 3:22)

Basi na tukikaribie kiti cha rehema kwa ujasiri, ili tupewe rehema na kupata neema ya kutusaidia wakati wa mahitaji.(Waebrania 4:16)

Lakini pasipo imani haiwezekani kumpendeza Mungu, kwa maana yeyote anayemjia Mungu lazima aamini kwamba yeye yuko na ya kuwa huwapa thawabu wale wamtafutao kwa bidii.(Waebrania 11:6)

Kwa hiyo anaweza kuwaokoa kabisa wale wanaomjia Mungu kupitia kwake, kwa sababu yeye adumu daima kuomba kwa ajili yao.(Waebrania 7:25)

Akaenda mbele kidogo, akaanguka kifudifudi, akaomba akisema, "Baba yangu, kama inawezekana, kikombe hiki na kiniondokee. Lakini si kama nipendavyo mimi, bali kama upendavyo wewe."(Mathayo 26:39)

Kwa habari ya jambo hili nilimsihi Bwana mara tatu aniondolee mwiba huu. Lakini aliniambia, "Neema yangu inakutosha, kwa kuwa uweza wangu hukamilika katika udhaifu." Kwa hiyo nitajisifu kwa furaha zaidi kuhusu udhaifu wangu, ili uweza wa Kristo ukae juu yangu.(2 Wakorintho 12:8,9)

O que fazer quando faltam palavras

Em períodos de perda, exaustão ou ansiedade extrema, formular pensamentos pode parecer impossível. O apóstolo Paulo ensina que o Espírito Santo intercede por nós em nossa fraqueza com gemidos que as palavras humanas não conseguem traduzir. Entregar a Deus o que aflige o coração, sem máscaras, substitui a inquietação pela paz de Cristo.

Vivyo hivyo, Roho hutusaidia katika udhaifu wetu, kwa sababu hatujui kuomba ipasavyo. Lakini Roho mwenyewe hutuombea kwa uchungu usioweza kutamkwa. Naye Mungu aichunguzaye mioyo, anaijua nia ya Roho, kwa sababu Roho huwaombea watakatifu sawasawa na mapenzi ya Mungu.(Warumi 8:26,27)

Msijisumbue kwa jambo lolote, bali katika kila jambo kwa kuomba na kusihi pamoja na kushukuru, haja zenu na zijulikane na Mungu. Nayo amani ya Mungu, inayopita fahamu zote, itailinda mioyo yenu na nia zenu katika Kristo Yesu.(Wafilipi 4:6,7)

Naye Mungu wangu atawajaza ninyi na kila mnachohitaji kwa kadiri ya utajiri wake katika utukufu ndani ya Kristo Yesu.(Wafilipi 4:19)

Jioni, asubuhi na adhuhuri

ninalia kwa huzuni,

naye husikia sauti yangu.(Zaburi 55:17)

Ee Mungu, wewe ni Mungu wangu,

nakutafuta kwa moyo wote;

nafsi yangu inakuonea kiu,

mwili wangu unakuonea wewe shauku,

katika nchi kame na iliyochoka

mahali ambapo hapana maji.(Zaburi 63:1)

Orar sem cessar no dia a dia

O mandamento de "orar sem cessar" não exige isolamento do mundo nem repetições intermináveis. Trata-se de cultivar uma atitude contínua de dependência, integrando Deus nas decisões do trabalho, na vida em família e nas tensões cotidianas. Essa oração também se expressa em comunidade, sustentando uns aos outros em intercessão, gratidão e louvor.

Furahini siku zote; ombeni bila kukoma; shukuruni kwa kila jambo, kwa maana haya ndiyo mapenzi ya Mungu kwa ajili yenu katika Kristo Yesu.(1 Wathesalonike 5:16-18)

Mkiomba kwa Roho siku zote katika sala zote na maombi, mkikesha kila wakati mkiwaombea watakatifu wote.(Waefeso 6:18)

Dumuni sana katika maombi, mkikesha katika hayo pamoja na kushukuru.(Wakolosai 4:2)

Kuweni na furaha katika tumaini, katika dhiki kuweni na saburi, dumuni katika maombi.(Warumi 12:12)

Nataka kila mahali wanaume wasali wakiinua mikono mitakatifu pasipo hasira wala kugombana.(1 Timotheo 2:8)

"Amin, nawaambia, lolote mtakalolifunga duniani litakuwa limefungwa mbinguni, na lolote mtakalolifungua duniani litakuwa limefunguliwa mbinguni.(Mathayo 18:18)

Kwa kuwa wanapokusanyika pamoja watu wawili au watatu kwa Jina langu, mimi niko papo hapo pamoja nao."(Mathayo 18:20)

"Lakini nawaambia ninyi mnaonisikia: Wapendeni adui zenu. Watendeeni mema wanaowachukia. Wabarikini wale wanaowalaani, waombeeni wale wanaowatendea mabaya.(Luka 6:27,28)

Hawa wote waliungana pamoja katika maombi. Pamoja nao walikuwepo wanawake kadha, na Maria mama yake Yesu, pamoja na ndugu zake Yesu.(Matendo Ya Mitume 1:14)

Ilipokaribia usiku wa manane, Paulo na Sila walikuwa wakiomba na kuimba nyimbo za kumsifu Mungu, nao wafungwa wengine walikuwa wakiwasikiliza.(Matendo Ya Mitume 16:25)

Mwisho wa mambo yote umekaribia. Kwa hiyo kuweni na akili tulivu na kiasi, mkikesha katika kuomba.(1 Petro 4:7)

Basi kwa yeye awezaye kutenda mambo ya ajabu yasiyopimika kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya uweza wake ule utendao kazi ndani yetu,(Waefeso 3:20)

Seja o primeiro

Este artigo te tocou? Faça uma oração!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.