Pular para o conteúdo
Publicidade

O que é a Palavra de Deus e qual o seu poder na Bíblia

O que é a Palavra de Deus na Bíblia

A Palavra de Deus é a revelação de quem Deus é e da sua vontade, expressa na criação do universo, no texto das Escrituras e plenamente encarnada em Jesus Cristo. Na Bíblia, ela nunca é letra morta: é a própria voz do Criador em ação, com poder para gerar vida, confrontar o coração humano e sustentar a história.

O apóstolo João apresenta Jesus como o Verbo — a Palavra eterna que estava com Deus, era Deus e se fez carne entre nós. Toda a criação veio à existência pelo falar divino, desde o mandamento inicial em Gênesis até a sustentação do cosmos pelo poder da sua palavra.

Hapo mwanzo alikuwako Neno, huyo Neno alikuwa pamoja na Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.(Yohana 1:1)

Neno alifanyika mwili, akakaa miongoni mwetu, nasi tukauona utukufu wake, utukufu kama wa Mwana pekee atokaye kwa Baba, amejaa neema na kweli.(Yohana 1:14)

Mwana ni mngʼao wa utukufu wa Mungu na mfano halisi wa nafsi yake, akivihifadhi vitu vyote kwa neno lake lenye uweza. Akiisha kufanya utakaso kwa ajili ya dhambi, aliketi mkono wa kuume wa Aliye Mkuu huko mbinguni.(Waebrania 1:3)

Mungu akasema, "Iwepo nuru," nayo nuru ikawepo.(Mwanzo 1:3)

Kwa neno la Bwana mbingu ziliumbwa,

jeshi lao la angani kwa pumzi ya kinywa chake.(Zaburi 33:6)

Kwa imani tunafahamu kwamba ulimwengu uliumbwa kwa neno la Mungu, vitu vyote vinavyoonekana havikuumbwa kutoka kwa vitu vinavyoonekana.(Waebrania 11:3)

O poder de discernir o coração humano

A Bíblia descreve a Palavra não como um conselho passivo, mas como força ativa. O autor da carta aos Hebreus a compara a uma espada de dois gumes porque ela penetra até a divisão mais íntima da consciência, expondo intenções e pensamentos que tentamos esconder.

Jeremias usa outras duas imagens concretas: o fogo que purifica e queima o engano, e o martelo capaz de esmiuçar a rocha mais dura da obstinação humana.

Kwa maana Neno la Mungu li hai tena lina nguvu. Lina makali kuliko upanga wowote wenye makali kuwili, hivyo linachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, viungo na mafuta yaliyo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.(Waebrania 4:12)

"Je, neno langu si kama moto," asema Bwana, "na kama nyundo ivunjayo mwamba vipande vipande?(Yeremia 23:29)

Vaeni chapeo ya wokovu na mchukue upanga wa Roho, ambao ni Neno la Mungu.(Waefeso 6:17)

Toda a Escritura é inspirada

Paulo escreveu a Timóteo afirmando que a Escritura é soprada por Deus (theopneustos, no grego). Por ter essa origem, ela carrega autoridade e utilidade prática imediata: ensinar o que é verdadeiro, repreender o erro, corrigir os desvios e treinar quem crê para uma vida de integridade e boas obras.

Kila Andiko limevuviwa na Mungu na lafaa kwa mafundisho, kwa kuwaonya watu makosa yao, kwa kuwaongoza na kwa kuwafundisha katika haki, ili mtu wa Mungu awe amekamilishwa, apate kutenda kila kazi njema.(2 Timotheo 3:16,17)

Luz e discernimento para as decisões

Quem anda à noite em terreno acidentado precisa de luz para ver onde põe o pé agora e para onde segue a estrada adiante. O salmista usa essa exata figura no Salmo 119: o mandamento divino clareia os passos do momento presente e ilumina o rumo a longo prazo. Guardar esse ensinamento na memória protege contra o tropeço moral e dá lucidez diante de escolhas difíceis.

Neno lako ni taa ya miguu yangu

na mwanga katika njia yangu.(Zaburi 119:105)

Kuingia kwa maneno yako kunaleta nuru,

kunampa mjinga ufahamu.(Zaburi 119:130)

Nimelificha neno lako moyoni mwangu

ili nisikutende dhambi.(Zaburi 119:11)

Kijana aifanye njia yake kuwa safi jinsi gani?

Ni kwa kutii, akilifuata neno lako.(Zaburi 119:9)

Ee Bwana, neno lako ni la milele,

linasimama imara mbinguni.(Zaburi 119:89)

Maneno yako yote ni kweli,

sheria zako zote za haki ni za milele.Bwana(Zaburi 119:160)

Ouvir e colocar em prática

Conhecer a Escritura apenas na teoria não produz transformação. Tiago compara o ouvinte desatento à pessoa que olha o próprio rosto no espelho, vê o que precisa ser ajustado, mas vai embora e se esquece do que viu.

Jesus encerrou o Sermão da Montanha com essa mesma distinção: quem ouve as suas palavras e as pratica é como quem construiu a casa sobre a rocha; quando a tempestade veio, a fundação resistiu.

Basi kuweni watendaji wa Neno wala msiwe wasikiaji tu, huku mkijidanganya nafsi zenu. Kwa maana kama mtu ni msikiaji tu wa Neno wala hatendi kile linachosema, yeye ni kama mtu ajitazamaye uso wake kwenye kioo na baada ya kujiona alivyo, huenda zake na mara husahau jinsi alivyo.(Yakobo 1:22-24)

Kwa hiyo, ondoleeni mbali uchafu wote na uovu ambao umezidi kuwa mwingi, mkalipokee kwa unyenyekevu lile Neno lililopandwa ndani yenu ambalo laweza kuokoa nafsi zenu.(Yakobo 1:21)

"Kwa hiyo kila mtu ayasikiaye haya maneno yangu na kuyatenda, ni kama mtu mwenye busara aliyejenga nyumba yake kwenye mwamba.(Mathayo 7:24)

Yesu akajibu, "Wamebarikiwa zaidi wale wanaolisikia neno la Mungu na kulitii."(Luka 11:28)

Lakini Yesu akajibu, "Imeandikwa: ‘Mtu haishi kwa mkate tu, ila kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mungu.’ "(Mathayo 4:4)

Watu wote wakashangaa, wakaambiana, "Mafundisho haya ni ya namna gani? Anawaamuru pepo wachafu kwa mamlaka na nguvu, nao wanatoka!"(Luka 4:36)

A permanência da verdade de Deus

Culturas, governos e certezas de cada época nascem e caem. O profeta Isaías aponta o contraste: a erva do campo seca e a flor murcha sob o calor, mas a palavra do Senhor permanece de pé. Jesus reforçou essa firmeza com uma das suas afirmações mais contundentes: o próprio cosmos passará, mas as suas palavras não hão de passar.

Majani hunyauka na maua huanguka,

lakini neno la Mungu wetu ladumu milele."(Isaya 40:8)

Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.(Mathayo 24:35)

Mbingu na nchi zitapita, lakini maneno yangu hayatapita kamwe.(Marko 13:31)

Maana neno la Bwana ni haki na kweli,

ni mwaminifu kwa yote atendayo.(Zaburi 33:4)

"Kila neno la Mungu ni kamilifu;

yeye ni ngao kwa wale wanaomkimbilia.(Mithali 30:5)

Kwa maana Bwana hutoa hekima,

na kinywani mwake hutoka maarifa na ufahamu.(Mithali 2:6)

Conhecer a verdade e ser liberto

No Evangelho de João, a liberdade verdadeira não é uma ideia abstrata ou ausência de regras: ela decorre de habitar no ensinamento de Jesus e conhecê-lo de fato. Essa comunhão diária limpa o coração, gera fé e afasta a condenação.

Kisha Yesu akawaambia wale Wayahudi waliomwamini, "Kama mkidumu katika maneno yangu, mtakuwa wanafunzi wangu kweli kweli. Ndipo mtaijua kweli nayo kweli itawaweka huru."(Yohana 8:31,32)

"Amin, amin nawaambia, yeyote anayesikia maneno yangu na kumwamini yeye aliyenituma, anao uzima wa milele, naye hatahukumiwa, bali amepita kutoka mautini, na kuingia uzimani.(Yohana 5:24)

Yesu akamjibu, "Mtu yeyote akinipenda atalishika neno langu na Baba yangu atampenda, nasi tutakuja kwake na kufanya makao yetu kwake.(Yohana 14:23)

Ninyi mmekwisha kuwa safi kwa sababu ya lile neno nililonena nanyi.(Yohana 15:3)

Amin, amin nawaambia, mtu yeyote akilitii neno langu hataona mauti milele."(Yohana 8:51)

Baada ya kufufuliwa kutoka kwa wafu, wanafunzi wake wakakumbuka yale aliyokuwa amesema. Ndipo wakayaamini Maandiko na yale maneno Yesu aliyokuwa amesema.(Yohana 2:22)

O alimento contínuo da fé

A Bíblia trata a Escritura não como um recurso de emergência, mas como alimento básico indispensável. Em Josué, a ordem dada na transição de liderança de Israel foi meditar na lei dia e noite para governar com sabedoria. Pedro compara a instrução bíblica ao leite materno, necessário para o recém-nascido crescer com saúde.

Usiache Kitabu hiki cha Sheria kiondoke kinywani mwako; yatafakari maneno yake usiku na mchana, ili upate kuwa mwangalifu kufanya kila kitu sawasawa na yote yaliyoandikwa ndani yake. Ndipo utakapofanikiwa na kisha utastawi.(Yoshua 1:8)

Maneno yako yalipokuja, niliyala;

yakawa shangwe yangu

na furaha ya moyo wangu,

kwa kuwa nimeitwa kwa jina lako,

Ee Bwana Mungu Mwenye Nguvu Zote.(Yeremia 15:16)

Alikudhili na kukufanya uone njaa kisha akulishe kwa mana, ambayo wewe wala baba zako hamkuijua, awafundishe kuwa mwanadamu hataishi kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Bwana.(Kumbukumbu La Torati 8:3)

Kama watoto wachanga, waliozaliwa sasa, yatamanini maziwa ya kiroho yasiyochanganywa na kitu kingine chochote, ili kwa hayo mpate kukua katika wokovu,(1 Petro 2:2)

Basi, imani chanzo chake ni kusikia, na kusikia huja kwa neno la Kristo. Lakini nauliza: Je, wao hawakusikia? Naam, wamesikia, kwa maana:

"Sauti yao imeenea duniani pote,

nayo maneno yao yameenea

hadi miisho ya ulimwengu."(Warumi 10:17,18)

Katika Mungu, ambaye neno lake ninalisifu,

katika Mungu ninatumaini; sitaogopa.

Mwanadamu apatikanaye na kufa,

atanitenda nini?(Zaburi 56:4)

Kuhusu Mungu, njia yake ni kamilifu,

neno la Bwana halina dosari.

Yeye ni ngao kwa wote

wanaokimbilia kwake.(Zaburi 18:30)

Kwa sababu kama ukikiri kwa kinywa chako kwamba "Yesu ni Bwana," na kuamini moyoni mwako kwamba Mungu alimfufua kutoka kwa wafu, utaokoka. Kwa maana kwa moyo mtu huamini na hivyo kuhesabiwa haki, tena kwa kinywa mtu hukiri na hivyo kupata wokovu.(Warumi 10:9,10)

A responsabilidade com o que falamos

A Escritura não se limita ao que Deus disse; ela confronta o que sai da nossa boca. Os provérbios ensinam que palavras precipitadas ferem com a violência de uma espada, enquanto a língua sábia traz restauração. Jesus explicou a raiz do problema: a boca fala daquilo de que o coração está cheio. O discípulo que se submete à Palavra de Deus aprende a usar a própria fala para edificar, e não para destruir.

Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga,

bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji.(Mithali 12:18)

Jawabu la upole hugeuza ghadhabu,

bali neno liumizalo huchochea hasira.(Mithali 15:1)

Tumbo la mtu litajaa kutokana na tunda la kinywa chake,

atashibishwa mavuno yanayotokana na midomo yake.

Mauti na uzima viko katika uwezo wa ulimi,

nao waupendao watakula matunda yake.(Mithali 18:20,21)

Kinywa cha mwenye haki ni chemchemi ya uzima,

lakini jeuri hufunika kinywa cha mwovu.(Mithali 10:11)

Moyo wa wasiwasi humlemea mtu,

bali neno la huruma humfurahisha.(Mithali 12:25)

Enyi uzao wa nyoka! Mnawezaje kunena mambo mema, wakati ninyi ni waovu? Kwa maana kinywa cha mtu huyanena yale yaliyoujaza moyo wake.(Mathayo 12:34)

Lakini nawaambia, katika siku ya hukumu watu watatoa hesabu kuhusu kila neno lisilo maana walilonena. Kwa maana kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa."(Mathayo 12:36,37)

Lakini kitokacho kinywani hutoka moyoni, na hiki ndicho kimtiacho mtu unajisi. Kwa maana ndani ya moyo hutoka mawazo mabaya, uuaji, uzinzi, uasherati, wizi, ushahidi wa uongo na masingizio.(Mathayo 15:18,19)

Sisi sote tunajikwaa katika mambo mengi. Ikiwa mtu yeyote hakosei kamwe katika yale anayosema, yeye ni mkamilifu, naye anaweza kuuzuia pia na mwili wake wote.(Yakobo 3:2)

Tunapotia lijamu kwenye vinywa vya farasi ili kuwafanya watutii, tunaweza kuigeuza miili yao yote. Au angalia pia meli, ingawa ni kubwa sana, nazo huchukuliwa na upepo mkali, lakini hugeuzwa kwa usukani mdogo sana, kokote anakotaka nahodha. Vivyo hivyo ulimi ni kiungo kidogo sana katika mwili, lakini hujivuna majivuno makuu. Fikirini jinsi moto mdogo unavyoweza kuteketeza msitu mkubwa! Ulimi pia ni moto, ndio ulimwengu wa uovu kati ya viungo vya mwili. Ulimi huutia mwili wote wa mtu unajisi na kuuwasha moto mfumo mzima wa maisha yake, nao wenyewe huchomwa moto wa jehanamu.

Kwa maana kila aina ya wanyama, ndege, wanyama watambaao na viumbe vya baharini vinafugika na vimefugwa na binadamu, lakini hakuna mtu awezaye kuufuga ulimi. Ni uovu usiotulia, umejaa sumu iletayo mauti.(Yakobo 3:3-8)

Seja o primeiro

Este artigo te tocou? Faça uma oração!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.