Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Wakorintho 11:8,9

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

8 Kwa maana mwanaume hakutoka kwa mwanamke, bali mwanamke alitoka kwa mwanaume. 9 Wala mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanaume.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    8 Kwa maana mwanaume hakutoka kwa mwanamke, bali mwanamke alitoka kwa mwanaume. 9 Wala mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanaume.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    8 Mwa 2:18-23;1 Tim 2:13Maana mwanamume hakutoka katika mwanamke, bali mwanamke katika mwanamume. 9 Wala mwanamume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke, bali mwanamke kwa ajili ya mwanamume.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.