Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Wakorintho 14:4,5

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

4 Anenaye kwa lugha hujijenga mwenyewe, bali atoaye unabii hulijenga kanisa. 5 Ningependa kila mmoja wenu anene kwa lugha lakini ningependa zaidi nyote mtoe unabii. Kwa kuwa yeye atoaye unabii ni mkuu kuliko anenaye kwa lugha, isipokuwa atafsiri, ili kanisa lipate kujengwa.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    4 Anenaye kwa lugha hujijenga mwenyewe, bali atoaye unabii huwajenga waumini. 5 Ningependa kila mmoja wenu anene kwa lugha, lakini ningependa zaidi nyote mtoe unabii. Kwa kuwa yeye atoaye unabii ni mkuu kuliko anenaye kwa lugha, isipokuwa atafsiri, ili waumini wote wapate kujengwa.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    4 Yeye anenaye kwa lugha hujijenga nafsi yake; bali atoaye unabii hulijenga kanisa. 5 Hes 11:29Nami nataka ninyi nyote mnene kwa lugha, lakini zaidi sana mpate kutoa unabii, maana yeye atoaye unabii ni mkuu kuliko yeye anenaye kwa lugha, isipokuwa afasiri, ili kusudi kanisa lipate kujengwa.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.