Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Wakorintho 15

54 Kwa hiyo, mwili huu wa kuharibika utakapovaa kutokuharibika, nao huu mwili wa kufa utakapovaa kutokufa, ndipo lile neno lililoandikwa litakapotimia: "Mauti imemezwa kwa kushinda."

55 "Kuko wapi, ee mauti, kushinda kwako?

Uko wapi, ee mauti, uchungu wako?"

56 Uchungu wa mauti ni dhambi na nguvu ya dhambi ni sheria. 57 Lakini ashukuriwe Mungu, yeye atupaye ushindi kwa njia ya Bwana wetu Yesu Kristo.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também