Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Wakorintho 9:25

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

25 Kila mmoja anayeshiriki katika mashindano hufanya mazoezi makali. Wao hufanya hivyo ili wapokee taji isiyodumu, lakini sisi tunafanya hivyo ili kupata taji idumuyo milele.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    25 Kila mmoja anayeshiriki katika mashindano hufanya mazoezi makali. Wao hufanya hivyo ili wapokee taji lisilodumu, lakini sisi tunafanya hivyo ili kupata taji linalodumu milele.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    25 2 Tim 2:4,5;4:8;1 Pet 5:4;Yak 1:12Na kila ashindanaye katika michezo hujizuia katika yote; basi hao hufanya hivyo ili wapokee taji liharibikayo; bali sisi tupokee taji lisiloharibika.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.