Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Mambo Ya Nyakati 4

9 Yabesi aliheshimiwa kuliko ndugu zake. Mama yake alimwita Yabesi, akisema, "Nilimzaa kwa huzuni." 10 Yabesi akamlilia Mungu wa Israeli akisema, "Ee Mungu, laiti ungenibariki kweli kweli na kuipanua mipaka yangu! Mkono wako na uwe pamoja nami, uniepushe na uovu ili nisidhurike!" Naye Mungu akamjalia hayo aliyoyaomba.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também