Imani Katika Mwana Wa Mungu Huushinda Ulimwengu
1 Kila mtu anayeamini kwamba Yesu ndiye Kristo amezaliwa na Mungu, na yeyote ampendaye Baba humpenda pia mtoto aliyezaliwa naye.
1 Kila mtu anayeamini kwamba Yesu ndiye Kristo amezaliwa na Mungu, na yeyote ampendaye Baba humpenda pia mtoto aliyezaliwa naye.
1 Kila mtu anayeamini kwamba Isa ndiye Al-Masihi amezaliwa5:1 Kiroho, sio kwa njia ya kimwili. na Mungu, na yeyote ampendaye Baba humpenda pia mtoto aliyezaliwa naye.
1 1 Yoh 4:15,16;1 Pet 1:22,23Kila mtu aaminiye kwamba Yesu ni Kristo amezaliwa na Mungu. Na kila mtu ampendaye mwenye kuzaa, ampenda hata yeye aliyezaliwa na yeye.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.