Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Samweli 1:26-28

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

26 naye Hana akamwambia Eli, "Hakika kama uishivyo, bwana wangu, mimi ndiye yule mama ambaye alisimama hapa karibu nawe akiomba kwa Bwana. 27 Niliomba mtoto huyu, naye Bwana amenijalia kile nilichomwomba. 28 Hivyo sasa ninamtoa kwa Bwana. Kwa maana maisha yake yote atakuwa ametolewa kwa Bwana." Naye akamwabudu Bwana huko.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    26 naye Hana akamwambia Eli, "Hakika kama uishivyo, bwana wangu, mimi ndiye yule mama ambaye alisimama hapa karibu nawe akiomba kwa Mwenyezi Mungu. 27 Niliomba mtoto huyu, naye Mwenyezi Mungu amenijalia kile nilichomwomba. 28 Hivyo sasa ninamtoa kwa Mwenyezi Mungu. Kwa maana maisha yake yote atakuwa ametolewa kwa Mwenyezi Mungu." Naye akamwabudu Mwenyezi Mungu huko.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    26 Akasema, Ee bwana wangu, kama iishivyo roho yako, bwana wangu, mimi ndimi yule mwanamke aliyesimama karibu nawe hapa, nikimwomba BWANA. 27 Mt 7:7Niliomba nipewe mtoto huyu; BWANA akanipa dua yangu niliyomwomba; 28 Mwa 24:26,52kwa sababu hiyo mimi nami nimempa BWANA mtoto huyu; wakati wote atakaokuwa hai amepewa BWANA. Naye akamwabudu BWANA huko.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.