Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Samweli 13

11 Samweli akamuuliza, "Umefanya nini?"

Sauli akajibu, "Nilipoona kwamba watu wanatawanyika, na kwamba hukuja wakati uliopangwa na kwamba Wafilisti walikuwa wakikusanyika huko Mikmashi, 12 nikawaza, Sasa Wafilisti watateremka dhidi yangu huko Gilgali nami sijaomba kibali kwa Bwana.Hivyo nikalazimika kutoa sadaka ya kuteketezwa."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também