Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Samweli 17:47

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

47 Wale wote waliokusanyika hapa watajua kuwa Bwana haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; kwa kuwa vita ni vya Bwana, naye atawatia wote mikononi mwetu."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    47 Wale wote waliokusanyika hapa watajua kuwa Mwenyezi Mungu haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; kwa kuwa vita ni vya Mwenyezi Mungu, naye atawatia ninyi wote mikononi mwetu."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    47 Zab 44:6,7;Hos 1:7;Zek 4:6;2 Nya 20:15Nao jamii ya watu wote pia wajue ya kwamba BWANA haokoi kwa upanga wala kwa mkuki; maana vita ni vya BWANA, naye atawatia ninyi mikononi mwetu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.