32 Daudi akamwambia Abigaili, "Ahimidiwe Bwana, Mungu wa Israeli aliyekutuma kunilaki leo. 33 Ubarikiwe kwa uamuzi wako mzuri na kwa kunizuia nisimwage damu leo na kulipiza kisasi kwa mikono yangu.
Publicidade
1 Samweli 25
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.