Pular para o conteúdo
Publicidade

1 Samweli 4:11,17,22

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

11 Sanduku la Mungu likatekwa, na hao wana wawili wa Eli, Hofni na Finehasi, wakauawa.

17 Yule mtu aliyeleta habari akajibu, "Israeli amekimbia mbele ya Wafilisti, nalo jeshi limepata hasara kubwa. Pia wana wako wawili, Hofni na Finehasi, wamekufa, na Sanduku la Mungu limetekwa."

22 Akasema, "Utukufu umeondoka katika Israeli, kwa kuwa Sanduku la Mungu limetekwa."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    11 Sanduku la Mungu likatekwa, na hao wana wawili wa Eli, Hofni na Finehasi, wakauawa.

    17 Yule mtu aliyeleta habari akajibu, "Waisraeli wamekimbia mbele ya Wafilisti, na wanajeshi wengi sana wameuawa. Pia wana wako wawili, Hofni na Finehasi, wamekufa, na Sanduku la Mungu limetekwa."

    22 Akasema, "Utukufu umeondoka katika Israeli, kwa kuwa Sanduku la Mungu limetekwa."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    11 1 Sam 2:32;Zab 78:61,64Hilo sanduku la Mungu likatwaliwa; na Hofni na Finehasi, wale wana wawili wa Eli, wakauawa.

    17 Yeye aliyeleta habari akajibu, akasema, Israeli wamekimbia mbele ya Wafilisti, tena watu wengi sana wameuawa, hata na wana wako wawili, Hofni na Finehasi, wamekufa pia, na sanduku la Mungu limetwaliwa.

    22 Naam, akasema, Huo utukufu umeondoka katika Israeli; maana sanduku la Mungu limetwaliwa.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.