7 Mfalme akawaambia Yuda, "Tuijenge hii miji na tuizungushie kuta, pamoja na minara, malango na makomeo. Nchi bado ni yetu, kwa sababu tumemtafuta Bwana Mungu wetu, tulimtafuta naye ametupa raha kila upande." Hivyo wakajenga na wakafanikiwa.
Publicidade
2 Mambo Ya Nyakati 14
Estes versículos te tocaram? Ore agora!
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.