9 Walipokwisha kuvuka, Eliya akamwambia Elisha, "Niambie, nikufanyie nini kabla sijaondolewa kutoka kwako?"
Elisha akajibu, "Naomba nirithi sehemu maradufu ya roho yako."