Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Wafalme 5:10,14

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

10 Elisha akamtuma mjumbe kumwambia, "Nenda uoge katika Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itapona, nawe utatakasika."

14 Hivyo akashuka na kujizamisha ndani ya Yordani mara saba, kama vile huyo mtu wa Mungu alivyokuwa amemwambia, nayo nyama ya mwili wake ikapona na kutakasika kama ya mwili wa mvulana mdogo.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    10 Al-Yasa akamtuma mjumbe kumwambia, "Nenda uoge katika Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itapona, nawe utatakasika."

    14 Hivyo akashuka na kujizamisha ndani ya Yordani mara saba, kama vile huyo mtu wa Mungu alivyokuwa amemwambia, nayo nyama ya mwili wake ikapona na kutakasika kama ya mwili wa mvulana mdogo.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    10 2 Fal 4:41;Yn 9:7Naye Elisha akampelekea mjumbe, akisema, Nenda ukaoge katika Yordani mara saba, na nyama ya mwili wako itakurudia, nawe utakuwa safi.

    14 Ayu 19:26;Lk 4:27Ndipo akashuka, akajichovya mara saba katika Yordani, sawasawa na neno lake yule mtu wa Mungu; nayo nyama ya mwili wake ikarudi ikawa kama nyama ya mwili wa mtoto mchanga, akawa safi.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.