Pular para o conteúdo
Publicidade

2 Timotheo 3:6,7

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

6 Miongoni mwao wamo wale wajiingizao katika nyumba za watu na kuwachukua mateka wanawake wajinga, waliolemewa na dhambi zao na kuyumbishwa na aina zote za tamaa mbaya. 7 Wakijifunza siku zote lakini kamwe wasiweze kufikia ujuzi wa kweli.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    6 Miongoni mwao wamo wale wajiingizao katika nyumba za watu na kuwachukua mateka wanawake wajinga, waliolemewa na dhambi zao na kuyumbishwa na aina zote za tamaa mbaya. 7 Hawa hujifunza siku zote, lakini kamwe hawawezi kuufikia ujuzi wa kweli.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    6 Mt 23:14;Tit 1:11Kwa maana katika hao wamo wale wajiingizao katika nyumba za watu, na kuchukua mateka wanawake wajinga wenye mizigo ya dhambi, waliochukuliwa na tamaa za kila namna; 7 2 Tim 2:25wakijifunza siku zote, ila wasiweze kabisa kuufikia ujuzi wa kweli.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

2 Timóteo
Ver todos os capítulos de 2 Timóteo