16 Kwenye joho lake na paja lake pameandikwa jina hili:
Mfalme wa wafalme, na Bwana wa mabwana.
16 Kwenye joho lake na paja lake pameandikwa jina hili:
Mfalme wa wafalme, na Bwana wa mabwana.
16 Kwenye joho lake na paja lake pameandikwa jina hili:
Mfalme wa wafalme
na Bwana wa mabwana.
16 Kum 10:17;Dan 2:47;Ufu 17:14;1 Tim 6:15Naye ana jina limeandikwa katika vazi lake na paja lake, MFALME WA WAFALME, NA BWANA WA MABWANA.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.