Pular para o conteúdo
Publicidade

Ufunuo 21:5

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

5 Naye yule aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi akasema, "Tazama, nayafanya mambo yote kuwa mapya!" Kisha akasema, "Andika haya, maana maneno haya ni ya kuaminika tena ni kweli."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    5 Naye yule aliyeketi juu ya kile kiti cha enzi akasema, "Tazama, nayafanya mambo yote kuwa mapya!" Kisha akasema, "Andika haya, maana maneno haya ni ya kuaminika tena ni kweli."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    5 Ufu 4:2;5:1;2 Kor 5:17;Zab 47:8Na yeye aketiye juu ya kile kiti cha enzi akasema, Tazama, nayafanya yote kuwa mapya. Akaniambia, Andika ya kwamba maneno hayo ni amini na kweli.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.