Pular para o conteúdo
Publicidade

Ufunuo 22:3,4

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

3 Katika mji huo hakutakuwa tena na laana, bali kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo kitakuwamo humo na watumishi wake watamtumikia, 4 nao watamwona uso wake na Jina lake litakuwa kwenye vipaji vya nyuso zao.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    3 Katika mji huo hakutakuwa tena na laana, bali kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-Kondoo kitakuwamo humo na watumishi wake watamtumikia, 4 nao watamwona uso wake na Jina lake litakuwa kwenye paji za nyuso zao.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    3 Zek 14:11Wala hapatakuwa na laana yoyote tena. Na kiti cha enzi cha Mungu na cha Mwana-kondoo kitakuwamo ndani yake. Na watumishi wake watamtumikia; 4 Mt 5:8;Ufu 3:12nao watamwona uso wake, na jina lake litakuwa katika vipaji vya nyuso zao.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.