Pular para o conteúdo
Publicidade

Atos 10

4 Kornelio akamkazia macho kwa hofu akasema, "Kuna nini, Bwana?"

Malaika akamwambia, "Sala zako na sadaka zako kwa maskini zimefika juu na kuwa ukumbusho mbele za Mungu.

Veja também