30 Kisha akawaleta nje akisema, "Bwana zangu, nifanye nini nipate kuokoka?"
31 Wakamjibu, "Mwamini Bwana Yesu Kristo, nawe utaokoka, pamoja na watu wa nyumbani mwako."