Kushuka Kwa Roho Mtakatifu
1 Siku ya Pentekoste ilipowadia, waamini wote walikuwa mahali pamoja. 4 Wote wakajazwa na Roho Mtakatifu, wakaanza kunena kwa lugha nyingine, kama Roho alivyowajalia.