Imetupasa Kumtii Mungu Kuliko Wanadamu
19 Lakini Petro na Yohana wakajibu, "Amueni ninyi wenyewe iwapo ni haki mbele za Mungu kuwatii ninyi kuliko kumtii Mungu. 20 Lakini sisi hatuwezi kuacha kusema yale tuliyoyaona na kuyasikia."

+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.