Pular para o conteúdo
Publicidade

Matendo Ya Mitume 4:5,6

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

5 Kesho yake, viongozi wa Kiyahudi, wazee na walimu wa sheria wakakusanyika Yerusalemu. 6 Walikuwepo kuhani mkuu Anasi, Kayafa, Yohana, Iskanda, na wengi wa jamaa ya kuhani mkuu.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    5 Kesho yake, viongozi wa Wayahudi, wazee na walimu wa Torati walikusanyika Yerusalemu. 6 Walikuwemo kuhani mkuu Anasi, Kayafa, Yohana, Iskanda, na wengi wa jamaa ya kuhani mkuu.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    5 Kesho yake, wakubwa na wazee na waandishi wakakusanyika Yerusalemu, 6 na Anasi Kuhani Mkuu, na Kayafa pia, na Yohana na Iskanda, na wote wale waliokuwa jamaa zake Kuhani Mkuu.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.