Pular para o conteúdo
Publicidade

Matendo Ya Mitume 7:59,60

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

59 Walipokuwa wakimpiga mawe, Stefano aliomba, "Bwana Yesu, pokea roho yangu." 60 Kisha akapiga magoti, akalia kwa sauti kubwa akasema, "Bwana usiwahesabie dhambi hii." Baada ya kusema hayo, akalala.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    59 Walipokuwa wakimpiga mawe, Stefano aliomba, "Bwana Isa, pokea roho yangu." 60 Kisha akapiga magoti, akalia kwa sauti kubwa akasema, "Bwana, usiwahesabie dhambi hii." Baada ya kusema hayo, akalala.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    59 Zab 31:5;Lk 23:46Wakampiga kwa mawe Stefano, naye akiomba, akisema, Bwana Yesu, pokea roho yangu. 60 Lk 23:34Akapiga magoti, akalia kwa sauti kuu, Bwana, usiwahesabie dhambi hii. Akiisha kusema haya akalala. Na Sauli alikuwa akiona kitendo cha kuuawa kwake kuwa sawa.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.