Pular para o conteúdo
Publicidade

Matendo Ya Mitume 8

32 Huyu towashi alikuwa anasoma fungu hili la Maandiko:

"Aliongozwa kama kondoo aendaye machinjoni,

kama mwana-kondoo anyamazavyo

mbele yake yule amkataye manyoya,

hivyo hakufungua kinywa chake.

33 Katika kufedheheshwa kwake alinyimwa haki yake.

Nani awezaye kueleza juu ya kizazi chake?

Kwa maana maisha yake yaliondolewa

kutoka duniani."

34 Yule towashi akamuuliza Filipo, "Tafadhali niambie, nabii huyu anena habari zake mwenyewe au habari za mtu mwingine?" 35 Ndipo Filipo akaanza kutumia fungu lile la Maandiko, akamweleza habari njema za Yesu.

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também