Pular para o conteúdo
Publicidade

Resultados da busca por "esperança"

7 resultados encontrados

  1. Lamentações 3

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 3
    Mostrando versículos 21–29 de 66

    21Hata hivyo najikumbusha neno hilina kwa hiyo ninalo tumaini.

    26ni vyema kungojea kwa utulivukwa ajili ya wokovu wa Bwana.

    29Na azike uso wake mavumbinibado panawezekana kuwa na matumaini.

  2. 1 Coríntios 13

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 13
    Mostrando versículos 7–13 de 13

    7Upendo huvumilia yote, huamini yote, hutumaini yote, hustahimili yote.

    8Upendo haushindwi kamwe. Lakini ukiwepo unabii, utakoma; zikiwepo lugha, zitakoma; yakiwepo maarifa, yatapita.

    13Basi sasa, yanadumu mambo haya matatu: Imani, tumaini na upendo. Lakini lililo kuu miongoni mwa haya matatu ni upendo.

  3. Romanos 5

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 5
    Mostrando versículos 2–5 de 21

    2ambaye kwa kupitia kwake tumepata kwa njia ya imani kuifikia neema hii ambayo ndani yake sasa tunasimama, nasi twafurahia katika tumaini letu la kushiriki utukufu wa Mungu.

    4nayo saburi huleta uthabiti wa moyo, na uthabiti wa moyo huleta tumaini,

    5wala tumaini halitukatishi tamaa, kwa sababu Mungu amekwisha kumimina pendo lake mioyoni mwetu kwa njia ya Roho Mtakatifu ambaye ametupatia.

  4. Provérbios 13

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 13
    Mostrando versículos 4–14 de 25

    4Mvivu hutamani sana na hapati kitu,bali nafsi ya mwenye bidiihutoshelezwa kikamilifu.

    12Kilichotarajiwa kikikawia kuja moyo huugua,bali tumaini lililotimizwa ni mti wa uzima.

    14Mafundisho ya mwenye busara ni chemchemi ya uzima,ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti.

  5. Romanos 8

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 8
    Mostrando versículos 24–35 de 39

    24Kwa kuwa tuliokolewa kwa tumaini hili. Lakini kama kinachotumainiwa kikionekana hakiwi tumaini tena. Je, kuna mtu anayetumaini kupata kitu alicho nacho tayari?

    25Lakini tunapotumaini kupata kitu ambacho hatuna, basi twakingojea kwa saburi.

    35Ni nani atakayetutenga na upendo wa Kristo? Je, ni shida au taabu au mateso au njaa au uchi au hatari au upanga?

  6. 1 Crônicas 4

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 4
    Mostrando versículos 29–36 de 43

    29Bilha, Esemu, Toladi,

    30Bethueli, Horma, Siklagi,

    36Pia Elioenai, Yaakoba, Yeshohaya, Asaya, Adieli, Yesimieli, Benaya,

  7. Hebreus 6

    Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu
    Capítulo 6
    Mostrando versículos 11–19 de 20

    11Nasi twataka kila mmoja wenu aonyeshe bidii iyo hiyo ili mpate kujua uhakika kamili wa lile tumaini mpaka mwisho,

    15Abrahamu naye, baada ya kungoja kwa saburi, alipokea kile kilichoahidiwa.

    19Tunalo tumaini hili kama nanga ya roho iliyo imara na thabiti. Tumaini hili huingia katika sehemu takatifu iliyopo nyuma ya pazia,

Léxico (correspondência exata) Semântico (correspondência relacionada) Versículos omitidos Contexto do capítulo