Pular para o conteúdo
Publicidade

Danieli 12:1

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

Nyakati Za Mwisho

1 "Katika wakati huo Mikaeli, mtawala mkuu ambaye huwalinda watu wako, atainuka. Kutakuwako wakati wa taabu ambao haujatokea tangu mwanzo wa mataifa hadi wakati huo. Lakini wakati huo, watu wako, kila mmoja ambaye jina lake litakutwa limeandikwa kwenye kitabu, ataokolewa.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    1 "Katika wakati huo Mikaeli, mtawala mkuu ambaye huwalinda watu wako, atainuka. Kutakuwako wakati wa taabu ambao haujatokea tangu mwanzo wa mataifa hadi wakati huo. Lakini wakati huo, watu wako, kila mmoja ambaye jina lake litakutwa limeandikwa kwenye kitabu, ataokolewa.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    1 Ufu 16:18;Isa 11:11;Yer 30:7;Hos 3:5;Yoe 3:16;Rum 11:26;Kut 32:32;Isa 4:3;Eze 13:9;Lk 10:20;Mt 24:21;Mk 13:19;Ufu 7:14;12:7Wakati huo Mikaeli atasimama, jemadari mkuu, asimamaye upande wa wana wa watu wako; na kutakuwa na wakati wa taabu, mfano wake haukuwapo tangu lilipoanza kuwapo taifa hata wakati huo huo; na wakati huo watu wako wataokolewa; kila mmoja atakayeonekana ameandikwa katika kitabu kile.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.