23 Ninakushukuru na kukuhimidi,
Ee Mungu wa baba zangu:
Umenipa hekima na uwezo,
umenijulisha kile tulichokuomba,
umetujulisha ndoto ya mfalme."
23 Ninakushukuru na kukuhimidi,
Ee Mungu wa baba zangu:
Umenipa hekima na uwezo,
umenijulisha kile tulichokuomba,
umetujulisha ndoto ya mfalme."
23 Ninakushukuru na kukuhimidi, Ee Mungu wa baba zangu:
Umenipa hekima na uwezo;
umenijulisha kile tulichokuomba,
umetujulisha ndoto ya mfalme."
23 Amo 3:7Nakushukuru, nakuhimidi, Ee Mungu wa baba zangu, uliyenipa hekima na uwezo, ukanijulisha hayo tuliyotaka kwako; maana umetujulisha neno lile la mfalme.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.