Publicidade

Daniel 2

26 Mfalme akamuuliza Danieli (aliyeitwa pia Belteshaza), "Je, unaweza kuniambia nilichoona katika ndoto yangu na kuifasiri?"

27 Danieli akajibu, "Hakuna mwenye hekima, msihiri, mganga au mwaguzi anayeweza kumweleza mfalme siri aliyouliza, 28 lakini yuko Mungu mbinguni afunuaye siri. Amemwonyesha Mfalme Nebukadneza kitakachotokea siku zijazo. Ndoto yako na maono yaliyopita mawazoni mwako ulipokuwa umelala kitandani mwako ni haya:

Veja também

Publicidade
Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-06-29_22-07-56-