Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu La Torati 18:20-22

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

20 Lakini nabii ambaye atathubutu kusema kwa Jina langu kitu chochote ambacho sikumwamuru akiseme, au nabii ambaye husema kwa jina la miungu mingine ni lazima auawe."

21 Mnaweza kuulizana wenyewe, "Tutawezaje kujua wakati ujumbe haukusemwa na Bwana?" 22 Ikiwa kile nabii anachotangaza kwa jina la Bwana hakikutokea au kutimia, huo ni ujumbe ambao Bwana hakusema. Nabii huyo amesema kwa ujuaji. Msimwogope huyo.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    20 Lakini nabii ambaye atathubutu kusema kwa Jina langu kitu chochote ambacho sikumwamuru akiseme, au nabii ambaye husema kwa jina la miungu mingine ni lazima auawe."

    21 Mnaweza kuulizana wenyewe, "Tutawezaje kujua wakati ujumbe haukusemwa na Mwenyezi Mungu?" 22 Ikiwa kile nabii anachotangaza kwa jina la Mwenyezi Mungu hakikutendeka au kutimia, huo ni ujumbe ambao Mwenyezi Mungu hakusema. Nabii huyo amesema kwa ujuaji. Msimwogope huyo.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    20 Kum 13:5;Yer 14:14;Zek 13:3;Yer 2:8Lakini nabii atakayenena neno kwa kujikinai kwa jina langu, ambalo sikumwagiza kulinena, au atakayenena katika jina la miungu mingine, nabii yule atakufa. 21 Nawe ukisema moyoni mwako, Tutajuaje neno asilolinena BWANA? 22 Yer 28:9Atakaponena nabii kwa jina la BWANA, lisifuate jambo lile wala kutimia, hilo ndilo neno asilolinena BWANA; kwa kujikinai amelinena huyo nabii, usimwogope.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.