Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu La Torati 20:5

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

5 Maafisa wataliambia jeshi: "Je, kuna yeyote aliyejenga nyumba mpya ambayo haijawekwa wakfu? Yeye na arudi nyumbani, ama sivyo anaweza kufa vitani na mtu mwingine akaiweka wakfu.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    5 Maafisa wataliambia jeshi: "Je, kuna yeyote aliyejenga nyumba mpya ambayo haijawekwa wakfu? Yeye na arudi nyumbani, ama sivyo anaweza kufa vitani na mtu mwingine akaiweka wakfu.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    5 Neh 12:27Na maofisa na waseme na watu, na kuwaambia, Ni mtu gani aliye hapa aliyejenga nyumba mpya, wala hajaiweka wakfu? Aende akarudi nyumbani kwake, asije akafa mapiganoni, ikawekwa wakfu na mtu mwingine.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.