Publicidade

Deuteronômio 22

Kukiuka Taratibu Za Ndoa

13 Ikiwa mtu atamwoa mke na, baada ya kufanya naye tendo la ndoa, akamchukia, 14 akimsingizia na kumwita jina baya, akisema, "Nilimwoa mwanamke huyu, lakini nilipomkaribia sikupata uthibitisho wa ubikira wake" 15 ndipo baba na mama wa msichana wataleta uthibitisho kwamba alikuwa bikira kwa wazee wa mji kwenye lango. 16 Baba wa msichana atawaambia wazee, "Nilimwoza binti yangu kwa huyu mwanaume, lakini hampendi. 17 Sasa amemsingizia na kusema, Sikumkuta huyu binti akiwa bikira.Lakini hapa kuna uthibitisho wa ubikira wa binti yangu." Kisha wazazi wake wataonyesha nguo zake kwa wazee wa mji,

Veja também

Bíblia Online Bíblia Online

Bíblia Online • Versão: 2026-07-05_19-25-13-