Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu La Torati 28:1

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

Baraka Za Utiifu

1 Kama ukimtii Bwana Mungu wako kwa bidii na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa bidii, Bwana Mungu wako atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    1 Ukimtii Mwenyezi Mungu, Mungu wako, kwa ukamilifu na kufuata amri zake zote ninazokupa leo kwa makini, Mwenyezi Mungu, Mungu wako, atakuweka juu ya mataifa yote katika dunia.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    1 Kum 11:13-17;Kut 15:26;Law 26:3;Zab 106:3;111:10;Isa 1:19;3:10;Yer 11:4;12:16;1 Nya 14:2;Rum 2:10Itakuwa utakaposikia sauti ya BWANA, Mungu wako, kwa bidii, kutunza kuyafanya maagizo yake yote nikuagizayo leo, ndipo BWANA, Mungu wako, atakapokutukuza juu ya mataifa yote ya duniani;

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.