Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu La Torati 28:4

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

4 Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na wanyama wako wachanga wa kufugwa, yaani ndama wa makundi yako ya ngʼombe, na wana-kondoo wa makundi yako.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    4 Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na mazao ya nchi yako na mifugo wako wachanga, yaani ndama wa makundi yako ya ng’ombe, na wana-kondoo wa makundi yako.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    4 Mwa 22:17;1 Tim 4:8Utabarikiwa uzao wa tumbo lako, na uzao wa nchi yako, na uzao wa wanyama wako wa mifugo, kuongezeka kwa ng’ombe wako, na wadogo wa kondoo wako.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.