Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu La Torati 3

11 (Mfalme Ogu wa Bashani ndiye peke yake aliyesalia miongoni mwa mabaki ya Warefai. Kitanda chake kilikuwa cha chuma chenye urefu wa dhiraa tisa3:11 Dhiraa tisa ni sawa na mita 4. na upana wa dhiraa nne.3:11 Dhiraa nne ni sawa na mita 1.8. Mpaka sasa kinaweza kuonekana katika mji wa Waamoni wa Raba.)

Veja também