Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu La Torati 31:6

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

6 Kuweni imara na moyo wa ushujaa. Msiogope wala msifadhaike kwa sababu yao, kwa kuwa Bwana Mungu wenu anakwenda pamoja nanyi; kamwe hatawaacha wala hatawatupa ninyi."

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    6 Kuweni imara na moyo wa ushujaa. Msiogope wala msifadhaike kwa sababu yao, kwa kuwa Mwenyezi Mungu, Mungu wenu, anaenda pamoja nanyi; kamwe hatawaacha wala hatawatupa ninyi."

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    6 Yos 10:25;1 Nya 22:13;Kum 1:29;7:18;20:4;Zab 118:6;Yos 1:5;Ebr 13:5Iweni hodari na moyo wa ushujaa, msiogope wala msiwahofu; kwa maana BWANA, Mungu wako, yeye ndiye anayekwenda pamoja nawe, hatakupungukia wala kukuacha.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.