Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu La Torati 6:6-9

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

6 Amri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako. 7 Wafundishe watoto wako kwa bidii. Nena kuhusu amri hizi uketipo nyumbani na wakati utembeapo njiani, ulalapo na uamkapo. 8 Zifunge kama alama juu ya mkono wako, na uzifunge juu ya paji la uso wako. 9 Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    6 Amri hizi ninazokupa leo zitakuwa katika moyo wako. 7 Wafundishe watoto wako kwa bidii. Nena kuhusu amri hizi uketipo nyumbani na wakati utembeapo njiani, ulalapo na uamkapo. 8 Zifunge kama alama juu ya mkono wako, na uzifunge juu ya paji la uso wako. 9 Ziandike kwenye miimo ya milango ya nyumba yako na juu ya malango yako.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    6 Kum 11:18-20;Isa 51:7Na maneno haya ninayokuamuru leo, yatakuwa katika moyo wako; 7 Efe 6:4nawe uwafundishe watoto wako kwa bidii, na kuyasema uishipo katika nyumba yako, na utembeapo njiani, na ulalapo, na uondokapo. 8 Mit 6:21;Kut 13:9;Mit 3:3;7:3Yafunge yawe dalili juu ya mkono wako, nayo yatakuwa kama utepe katikati ya macho yako. 9 Kum 11:20;Isa 50:8;57:8Tena yaandike juu ya miimo ya nyumba yako, na juu ya malango yako.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.