Pular para o conteúdo
Publicidade

Kumbukumbu La Torati 8:3

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

3 Alikudhili na kukufanya uone njaa kisha akulishe kwa mana, ambayo wewe wala baba zako hamkuijua, awafundishe kuwa mwanadamu hataishi kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Bwana.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    3 Alikudhili na kukufanya uone njaa kisha akulishe kwa mana, ambayo wewe wala baba zako hamkuijua, awafundishe kuwa mwanadamu hataishi kwa mkate tu bali kwa kila neno litokalo katika kinywa cha Mwenyezi Mungu.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    3 Mt 4:4;Lk 4:4;Kut 16:2;Zab 78:23-25;105:40,41;1 Kor 10:3,4;Zab 104:29;Lk 12:29-31;Ebr 13:5,6Akakunyenyekeza, akakuacha uone njaa, akakulisha kwa mana, usiyoijua wewe wala baba zako hawakuijua; apate kukujulisha ya kuwa mwanadamu haishi kwa mkate tu, bali huishi kwa kila litokalo katika kinywa cha BWANA.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.