Pular para o conteúdo
Publicidade

Mhubiri 9:10

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

10 Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko kuzimu, unakokwenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    10 Lolote mkono wako upatalo kufanya, fanya kwa nguvu zako zote, kwa kuwa huko Kuzimu9:10 Kuzimu kwa Kiebrania ni Sheol, yaani Shimo lisilo na mwisho., unakoenda, hakuna kufanya kazi wala mipango wala maarifa wala hekima.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    10 Lolote mkono wako utakalolipata kulifanya, ulifanye kwa nguvu zako; kwa kuwa hakuna kazi, wala shauri, wala maarifa, wala hekima, huko kuzimu uendako wewe.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.