12 Zaidi ya hayo, hakuna mwanadamu ajuaye wakati saa yake itakapokuja:
Kama vile samaki wavuliwavyo katika wavu mkatili,
au ndege wanaswavyo kwenye mtego,
vivyo hivyo wanadamu hunaswa na nyakati mbaya
zinazowaangukia bila kutazamia.

12 Mhu 8:7;Mit 29:6;Lk 12:20;1 The 5:3Maana mwanadamu naye hajui wakati wake; kama samaki wanaokamatwa katika nyavu mbaya, na mfano wa ndege wanaonaswa mtegoni, kadhalika wanadamu hunaswa katika wakati mbaya, unapowaangukia kwa ghafla.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.