Pular para o conteúdo
Publicidade

Waefeso 4

Umoja Katika Mwili Wa Kristo

1 Basi, mimi niliye mfungwa wa Bwana, nawasihi mwenende kama inavyostahili wito wenu mlioitiwa. 2 Kwa unyenyekevu wote na upole, mkiwa wavumilivu, mkichukuliana kwa upendo.

Veja também