Pular para o conteúdo
Publicidade

Waefeso 6:1,2,4

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

Mafundisho Kuhusu Watoto Na Wazazi

1 Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa kuwa hili ni jema. 2 "Waheshimu baba yako na mama yako," hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi,

4 Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    1 Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana Isa, kwa kuwa hili ni jema. 2 "Waheshimu baba yako na mama yako," hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi,

    4 Ninyi akina baba, msiwachokoze watoto wenu, bali waleeni kwa nidhamu na mafundisho ya Bwana Isa.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    1 Kol 3:20Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, maana hii ndiyo haki. 2 Kut 20:12;Kum 5:16Waheshimu baba yako na mama yako; hii ndiyo amri ya kwanza yenye ahadi, 4 Kol 3:21;Isa 50:5;Mit 2:2;3:11;19:18;Kum 6:7,20-25;Zab 78:4Nanyi, akina baba, msiwachokoze watoto wenu; bali waleeni katika adabu na maagizo ya Bwana.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.