Pular para o conteúdo
Publicidade

Waefeso 6

Mafundisho Kuhusu Watoto Na Wazazi

1 Enyi watoto, watiini wazazi wenu katika Bwana, kwa kuwa hili ni jema. 2 "Waheshimu baba yako na mama yako," hii ndio amri ya kwanza yenye ahadi, 3 "upate baraka na uishi siku nyingi duniani."

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.

Veja também