Pular para o conteúdo
Publicidade

Waefeso 6:12

ONEN Versão Contemporânea Aberta em Suaíli

12 Kwa maana kushindana kwetu si juu ya nyama na damu, bali dhidi ya falme, mamlaka, dhidi ya wakuu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Em outras traduções

  1. ONMM Edição Palavra Aberta: Escrituras Sagradas

    12 Kwa maana kushindana kwetu si dhidi ya mwili na damu, bali dhidi ya falme na mamlaka, dhidi ya wakuu wa ulimwengu huu wa giza na majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

  2. SRUV Swahili Revised Union Version

    12 Efe 2:2;Yn 14:30;Kol 1:13;1 Pet 5:8,9Kwa maana kushindana kwetu sisi si juu ya damu na nyama; bali ni juu ya falme na mamlaka, juu ya wakuu wa giza hili, juu ya majeshi ya pepo wabaya katika ulimwengu wa roho.

Direitos das traduções citadas

Estes versículos te tocaram? Ore agora!

+581 estão orando agora.

Junte-se à corrente de oração.