7 lakini Waisraeli walikuwa wamezaana na kuongezeka sana, idadi yao ikawa kubwa mno, kwa hiyo wakaijaza nchi.
8 Kisha mfalme mpya ambaye hakufahamu habari za Yosefu akatawala Misri.
7 lakini Waisraeli walikuwa wamezaana na kuongezeka sana, idadi yao ikawa kubwa mno, kwa hiyo wakaijaza nchi.
8 Kisha mfalme mpya ambaye hakufahamu habari za Yosefu akatawala Misri.
7 lakini Waisraeli walikuwa wamezaana na kuongezeka sana, idadi yao ikawa kubwa mno, hadi wakaijaza nchi.
8 Kisha mfalme mwingine ambaye hakufahamu habari za Yusufu akatawala Misri.
7 Mdo 7:17;Mwa 46:3;Kum 26:5;Zab 105:24Na wana wa Israeli walikuwa na uzazi sana, na kuongezeka mno, na kuzidi kuwa wengi, nao wakaendelea na kuongezeka nguvu; na ile nchi ilikuwa imejawa na wao.
8 Mdo 7:18Basi akatokea mfalme mpya kutawala Misri, asiyemjua Yusufu.
+581 estão orando agora.
Junte-se à corrente de oração.