Pigo La Kumi: Kuuawa Wazaliwa Wa Kwanza
1 Basi Bwana alikuwa amemwambia Mose, "Nitaleta pigo moja zaidi kwa Farao na katika nchi ya Misri. Baada ya hilo, atawaacha mwondoke hapa na atakapofanya hivyo, atawafukuza mtoke kabisa.